top of page

Semina Ya Muziki


Usikose nafasi ya kukuza kazi yako ya muziki.


Jiunge nasi katika semina ya uwezeshaji iliyoandaliwa na Mdundo kwa kushirikiana na Serengeti Breweries. Utapata maarifa na ufahamu muhimu kutoka kwa wataalamu katika tasnia, na kwa kiwango gani unaweza kuepuka baadhi ya changamoto na kuhamasika kufikia kiwango kipya cha kazi yako ya muziki.


Tuondoe vizuizi na kukuza usawa wa kijinsia katika muziki! Semina itafanyika Barometer Bistro - Barabara ya Haile Selasie, Masaki - Dar es Salaam, kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na mbili jioni.

Unasubiri nini, BONYEZA HAPA KUJIANDIKISHA SASA.


Kutakuwa na vinywaji, vitafunio na zawadi kwa wote watakaofanikiwa kuhudhuria.

Karibu sana!!.

bottom of page